Posts

Mkasa wa kweli wa Dada Baamedi

 

HAYA KUNA MDADA AMELETA STORY YAKE WALE WAPENDA STORY MJE

MKASA WA KWELI WA BAAMEDI 🍭🍭😊💥💧🔥💕

Sehemu ya Pili ( 2 ) 

***************

@Kila Mtu

🍭🍭😊💥💧🔥💕🍭🍭😊💥💧🔥💕

TUENDELEE

Mwandishi :Kuluti mc

Page kuluti mc

Nililala mpaka kesho yake asubuh nikampa mama pwsa kdg nikamuomba aandae supu kweli akaanda nikanywa then nikakaa kaa kdg manaa mtu nikama nilikuwa na hangover.

Pia siku hio sikwenda kazin kwenye mida ya saa nne usiku nikiwa nyumban nimelala simu yangu ikaita kuangalia n namba ngeni nikapokea nikasikia tusi moja matata alafu ety bikra maria mbona sikuoni njoo kwa chimwaga nkusafishe na pesa.

Nikakata simu nikalala zangu.

Asubuh naamka ile kuwasha simu muamala umesoma laki mbili na 70 nyie huyu baba anamajaribu.

Na sms ikaingia naomba leo tukutane nipate ile kitu inabana siku mjibu nikaanza kufanya kazi za nyumban nikamblock kisha nkavunja line nikajisemea nimeshapata mtaji manaa ile kazi n yakudhalilisha Sana.

Nikamfata mama nikamwambia nimesave pesa kdg naomba anishauri tufanye biashara gani.

Akanambia bora tutengeneze kibanda tuwe tunauza kweli tukatengeneza kipanda tukaenda sokon tukachukua vitu kwa jumla yaan tenga la nyanya,debe la vitunguu na vitu vingine,maana nilikuwa na Kama laki nne na mdogo wangu ndio alijenga banda tena bure kabisa.

Tukaanza kutangaza na kupiga kelele kuwa tunauza vitu Kama sokon yaan haina haja mtu kwwnda mbali kupata vitu vingi yaan hata akija kwetu anapata tena bila nauli.

Hatukutegemea watu walikuja wengi na wakawa wanaambizana kuwa mtu akitaka viungo vya mboga aje kwetu tunajaza na kumjazia..

Mungu n kama aliona vilio vyetu vya muda mrefu akaamua afungue Njia na maisha yakaanza kubadilika maana tulikuwa tunauwwzo wakupata hata faida ya elfu 20.

Mama akaja na wazo la kukaanga ndizi na vitu vya kuku na samaki..

Kwsli Mungu aliendelea kushusha nuru kwenye maisha yetu na mambo yakaendelea kwenda vzr tofauti na tulivyotegemea kabisa.

Mdogo wangu alifaulu kidato cha nne,tunamshukuru Mungu pesa ya kumsomesha ilikuwepo.

Akaenda kusoma form five.

Siku moja alikuja mdada mmoja tuliokuwa tunafanya kazi baa kunisalimia hapo ikumbukwe mama yangu hajawah kujua kama nilishawah Kuwa baa medi tukapiga story Ila nilimtoa pemben kdg ili mama yangu asisikie maongezi yetu.

Tukapiga story nyingi kqeli mwisho akanambia ila shoo unabahat.

Nikamuuliza bahat gani akatabasam akanambia siyule mzee kukuhonga pesa zote hizo nikamwambia ndio hivyo.

Mwisho akanambia ila usisahau kutumia dawa maana inasemekana mzee n muathirika na kingine yaan yule Mzee na maradhi aliyonayo lakin haongagi zaidi ya elfu 10 Ila ww amekumwagia mafedha ya kutosha.

Kiukwwli nilishtuka baada yakusikia kuwa alikuwa n muathirika,kengele ya hatar ikacheza kichwan kwangu nikawa najiona nimeshafariki Mimi jaman.

Ila sikuonesha kushtuka maana nawajua wadada niliokuwa nafanya nao kazi baa maana wanachuki wakiona umepata sponsor anaekuhudumia vzr watapambana wamchukue au wakuharibie nikatabasam kisha nikamwambia mwenye nacho huongezewa nikimaanisha kwamba na mm n mgonjwa kitambo labda tu ameongeza virus wa kizungu😀😀

Nikaona n kama hakutegemea jibu langu alafu akajifanya ameshtuka.

Ety don't tell me umeathirika.

Nikaona kaanza kukosa raha hakuwa na aman tena akanyanyuka akaondoka.

Nilikuwa na pressure sana ila nikawa najipa moyo kuwa wivu ndio utakuwa unamzumbua maana nilishaacha kazi ya baa na sasa nasikia faraja kwa kazi ninayoifanya.

Kesho yake nikatoka nikaenda kupima nikajikuta swafi kabisa maana nilikuwa na wasiwasi sana.

Usiku yule rose akanambia unauhakika umeathirika nikajisemea nyoo kumbe wivu n kidonda sasa nitamtesa kisaikolojia mpaka akome.

Nikamwambia ndio 'na kila jumatano tunaenda kuchukua vidonge mamaa so kama umetembea na yule mzee basi karibu chamani nikashangaa amekata simu nikajisemea ehee nimegusa penyewe kabisa..

Basi maisha yangu yakawa yanaendelea na kdg maisha ya nyumban yalibadilika kwa kiasi kikubw.

Muda ulienda hatimae mdg wangu akatimu kidato cha sita tukaenda kwenye graduation yake Mm 'na mama.

Sasa wakat shamra shamra zinaendelea nikamuona kijana mmoja ananiangalia sana na kiukweli sikujua n nani ila pia sikuzingatia sana maana nilihisi anamawazo yake.

Muda ulienda ukafuka muda wa wahitimu kukaa na ndg zake 'na wakat huo ndio ulikuwa n wakat wa kula keki na mavitu tuliyoyaandaa kwaajili ya graduation.

Nikashangaa yule kijana anakuja mpaka nilipokuwa mm,mdogo wangu na Mama na kulikuwa 'na rafiki zake mdogo wangu.

Na mdogo wangu alikuwa anaitwa marcelino.

Yule kijana akasema ila umefanana na dogo nikatabasam tu wala sikumjibu kitu chochote kile 

Ticha willium ko Mm nime fanana na mtoto wa kike anauliza marcelino.

Nikajua ahaa kumbe n mwalim huyu sasa mbona yuko kama kachalii tu.

Ila dogo una sista mrembo akasema Sir William kama anavyoitwa wote tukatabasam Mama akaondoka akasema ameitwa kwenye vikoba sasa pale mwanamke nilikuwa Mm pekee yangu.

Nashangaa bado macho ya ticha yako na mm nikajisemea ehee huyu mbona ananiangalia hivi ila nikavunga.

Sasa nilikuwa nimevaa viatu virefu ni kaamka pale nilipokuwepo nikataka niende uwani.

Nyie saa ngapi nisijikwae nikamdondoke Ticha wa watu nikashangaa kanikumbatia kwa nguvu kisha akasema u have such a beutiful smell,nikashangaa mdogo wangu 'na wenzake wanashangilia ety Shemu Shemu kisha akaniachia nikaenda uwani ila nilivyorudi nikajikuta ninaaibu mno.

Kila mtu aliliona hilo so tukafanya mambo chap chap yaan tulilishana keki kisha tukApiga picha Mm nikaondoka zangu..

 Maana si tunajua form 6 wanafanyaga kwanza ndio wafanye mitihani   

Sikujua kama niliacha habar kubwa sana nyuma yangu kuhusu Sir willium.

Yule mwalim aliweka ukaribu wa hali ya juu 'na mdogo wangu.

Siku marcelino anarudi nyumban alikuja 'na matani yake ila sikujal maana tumeshamzoea.

Tukapiga story mwisho akanipa kibahasha kulikuwa na barua na saa.

Barua ilisema hivi............”.🤔🤔 Nyieeeee....Mambo ni ya motooo.😂 Usipite bila kulike na kukomeniti fanya ku share kabisa ili sehemu inayofuata isikukose maana ndiyo sehemu balaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

 ..ITAENDELEA...... Hii ni bonge la simulizi isikubali ikupite.

@wafuasi 

                        #itaendelea_story_ni_kali_sana√

Mkiwa wavivu ku Share App yetu na sisi tunakuwa Wavivu Kuweka mavitu 😆

Post a Comment